Elections 2010 Ushauri kwa Dr. Slaa

Elections 2010 Ushauri kwa Dr. Slaa

nyengo

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
454
Reaction score
185
kwa vile tunauhakika wa wewe kuapata ushindi ulio wazi, binafsi na huenda wanachama wengine tungekushauri, katika baraza lako la kihistoria la mawaziri jalibu kuwaweka baadhi ya makamanda wapiganaji wa vyama vya siasa wenye uchungu wa nchi hii.
Wengi tunawafahamu, mfano kamanda mama kilango malecela, kamanda alioongoza vita vya richmond na wenzake, kuna wengine kutoka cuf nk. Wengine wengi utakuwa unawafahamu kiundani maan
a mlikuwa nao ktk bunge.
 
Back
Top Bottom