Ushauri kwa form 4 kuhusu special diploma UDOM

Ushauri kwa form 4 kuhusu special diploma UDOM

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
940
Reaction score
401
Kama unaona advance. majanga aplly special diploma UDOM uanze kula hela(bumu) mapema….

hela mpaka ajira ni mwendo wa pesa tu
 
Course zp zinapatikana hapo mkuu
 
Hiyo link ya application form ya udom inapatikana wap wakuu
 
mkuu sifa za mwombaji wanazo hitaji ni zipi?
 
sasa ivi wamewachagua serekal wenyew kupitia form four walopata credit na hawakubahatika kwenda advanc
 
Back
Top Bottom