Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Naombeni ushauri wataalamu, nataka kuchukua gari, gari ambalo ni reliable, less costly and low fuel consumption, kwasababu ndo gari la kwanza nataka gari ambalo halitaniumiza kichwa then badae mambo yakienda sawa nita upgrade.
Kwa uchunguzi niliofanya nimekuja kugundua mafundi wengi wa magari wanasema Toyota Corolla ni gari moja reliable sana na wamenishauri kama ndio gari la kwanza niagize corolla 2007 but sina experience nalo.
Naombeni mchango wenu wenye experience na hizi corolla.