Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Inshallah iwe kheriNikinunua Rolls Royce mtajuta.
1. Unaagiza JP, unanunua yard au kwa mtu?Naombeni ushauri wataalamu, nataka kuchukua gari, gari ambalo ni reliable, less costly and low fuel consumption, kwasababu ndo gari la kwanza nataka gari ambalo halitaniumiza kichwa...
Gari underatted sana ili. Hivi ushuru upoje?Probox!
Jimny bei sio mkasi?Chukua passo vitz starlet ama suzuki jimmy
Ukiweza kuzimaster hizo mzei lc hardtop 4500cc
Inavoonekana atabeba kwa mtu acheki pia toyota cami ama feroza daihatsuJimny bei sio mkasi?
Vigari vya moto hivi kwa wajasiriamali vinawafaa sana ni roho ya paka😀😀 kuna jamaa anayo probox namba B ni ya kitambo akiendesha inalia kama skrepa ila ndo anabebea nyanya shambaniGari underatted sana ili. Hivi ushuru upoje?
Havifi ivo. Mikoani kinapakia raia Noah ikasome.Vigari vya moto hivi kwa wajasiriamali vinawafaa sana ni roho ya paka😀😀 kuna jamaa anayo probox namba B ni ya kitambo akiendesha inalia kama skrepa ila ndo anabebea nyanya shambani
Hii feroza daihatsu unaizungumziajChukua passo vitz starlet ama suzuki jimmy toyota cami feroza daishatsu ama toyota succeed
Ukiweza kuzimaster hizo mzei chukua land cruiser hardtop 4500cc isuzu bighorn ama nissan safari