Ushauri kwa gari la kwanza

Gari underatted sana ili. Hivi ushuru upoje?

Tena hiz za miaka Ya karibun wame zi
Modernize haIjakaa kama Chai Maharage kama zile Toleo za Mwanzo body structure ni ile ile ila kidogo kuna udambwi udwambi wameongeza.. shape ya dashboard iko poa sana.. ni gari ngumu, spacious and very versatile

Sijui kwa nn inafanywa kama mtoto wa kambo kwenye familia Ya toyota
 
Huna hela wewe. Hata Corolla ya 2007 itakusumbua bure. Hiyo fedha kiduchu fanyia mambo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…