This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Home Shopping Centre Sijui Anakwama Wapigsm afate ushauri huu kwenye uzi asilete janja janja,kale kamdada ni kembamba akana nyama lakini kana point za kutosha.
Kwamba Mungu hajakanyima vyote. Amekanyima chura lakini amepewa akili. Wema amenyimewa akili amepewa chura is asavavivu mjjnigsm afate ushauri huu kwenye uzi asilete janja janja,kale kamdada ni kembamba akana nyama lakini kana point za kutosha.
Kwanza nakuuliza uliona au kusikia gsm wanaongelea huo mkataba?wanaopigizana kelele ni tff na simbaSIMBA ni timu kubwa, naamini hilo wanalijua. Malengo na tageti ya GSM ilikuwa kuwatumia Simba kujitanua na kujulikana kibiashara kwasababu Simba ni ya kimataifa. Hivyo kupitia mashindano ya Afrika GSM watajulikana.
Tatizo linakuja kwamba GSM ni watu wajanja janja wasiofuata taratibu.
USHAURI wangu ni kwamba waende pale MSIMBAZI wakae mezani na Simba waongee biashara, waweke mzigo wa maana mezani, Simba watavaa nembo na kuwatangazia biashara yao.
Simba haina ugomvi na GSM bali ni maslahi. Simba inahitaji hela.
Ni mtazamo wangu. Nakaribisha mawazo kinzani
Jishauri wewe kwanza uondokane na umaskini mkuu.SIMBA ni timu kubwa, naamini hilo wanalijua. Malengo na tageti ya GSM ilikuwa kuwatumia Simba kujitanua na kujulikana kibiashara kwasababu Simba ni ya kimataifa. Hivyo kupitia mashindano ya Afrika GSM watajulikana.
Tatizo linakuja kwamba GSM ni watu wajanja janja wasiofuata taratibu.
USHAURI wangu ni kwamba waende pale MSIMBAZI wakae mezani na Simba waongee biashara, waweke mzigo wa maana mezani, Simba watavaa nembo na kuwatangazia biashara yao.
Simba haina ugomvi na GSM bali ni maslahi. Simba inahitaji hela.
Ni mtazamo wangu. Nakaribisha mawazo kinzani
Tumwanamke twembamba huwa ni tubishi mno,ukute anashule sasa alafu umememuoa basi kazi unayo ndani.Kwamba Mungu hajakanyima vyote. Amekanyima chura lakini amepewa akili. Wema amenyimewa akili amepewa chura is asavavivu mjjni
Alafu awe anavaa miwani ya macho utamkoma [emoji28]Tumwanamke twembamba huwa ni tubishi mno,ukute anashule sasa alafu umememuoa basi kazi unayo ndani.
Hata nayo ni MAWAZO ya kimaskini kutoka kwa masikini aliyetopea.Maskini anafikiri kimaskini.Jishauri wewe kwanza uondokane na umaskini mkuu.
Ukimaliza ndo ukamshauri tajiri GSM.
Mpaka sasa aliyemtoa mwenzake kwenye mchezo ni SIMBA. Simba wamefanikiwa!Target yetu...GSM...ilikuwa no kuwatoa kimchezo.....ili kwenye dabi mpoteane
But pia kumbuka ..Moo ni branch ya GSM
Mpaka sasa aliyemtoa mwenzake kwenye mchezo ni SIMBA. Simba wamefanikiwa!
Hii ni biashara mkuu.GSM ndio katengeneze jezi za Simba ....
GSM ni mkubwa kuliko huyo MO
GSM alishamaliza mkakati wake atapiga kelele za nini.Kwanza nakuuliza uliona au kusikia gsm wanaongelea huo mkataba?wanaopigizana kelele ni tff na simba
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app