This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
SIMBA ni timu kubwa, naamini hilo wanalijua. Malengo na tageti ya GSM ilikuwa kuwatumia Simba kujitanua na kujulikana kibiashara kwasababu Simba ni ya kimataifa. Hivyo kupitia mashindano ya Afrika GSM watajulikana.
Tatizo linakuja kwamba GSM ni watu wajanja janja wasiofuata taratibu.
USHAURI wangu ni kwamba waende pale MSIMBAZI wakae mezani na Simba waongee biashara, waweke mzigo wa maana mezani, Simba watavaa nembo na kuwatangazia biashara yao.
Simba haina ugomvi na GSM bali ni maslahi. Simba inahitaji hela.
Ni mtazamo wangu. Nakaribisha mawazo kinzani