Pre GE2025 Ushauri kwa Halima Mdee, kurudi CHADEMA ni kujidanganya

Pre GE2025 Ushauri kwa Halima Mdee, kurudi CHADEMA ni kujidanganya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu Binti na umri wake, alibugi step.

CCM hata UWT tawi hapewi nafasi,sasa sijui ataingilia Mlango upi!

Aolewe maisha yaende, ndio njia iliyobakia.
Mkuu ww una miaka 80+ nini? Unamuita Halima Mdee binti wakati ana miaka 40+?
 
Back
Top Bottom