Ushauri kwa hili la tcu leo

Ushauri kwa hili la tcu leo

Said maneno

Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
38
Reaction score
2
Hii akaunti sikuzote ilikuwa sawa lakini leo inaniambia NO Application done.USHAuRi NICHUKUE HATUA GANi?
 
Sio wewe tu...hata mimi ni hivyo hivyo...tungoje hiyo kesho mkuu
 
ni second round application jamani imeshaanza; xo hii ni kwenye account zote
 
ina maana 2nd application kwa wale walokosea kuapply mara ya kwanza????
 
Uhuuuuwiiiiiiiiii uhuu uhuu uhuuuu..... Jaman jaman watakuja kuniua kumbe n kwa wote haisiiii
 
no applcation done means wewe ni wa second round..kwahiyo jiandaeni kuviziana kesho...first come-first saved basis
 
Wadau mbna mimi mambo yako pouwa kabisa afu ile view my selection status isharudi !! Sasa hapo mi nahisi nyie ni wa second around mliokosa chuo kwa 1st application.
 
Mimi imekuja view selection ila wanasema sever not found
 
Wadau mbna mimi mambo yako pouwa kabisa afu ile view my selection status isharudi !! Sasa hapo mi nahisi nyie ni wa second around mliokosa chuo kwa 1st application.

Vipi NOT YET PROCESSED imetoka??
 
Vipi NOT YET PROCESSED imetoka??

Noop !! Afu kuna ka toolbar ka 2nd round applctn wamekaongeza cjui wana maana gani? Hapa nilipo ni ful kamkojo kila wakati i dnt thnk ka leo usiku nitalala vizuri aiseee
 
Noop !! Afu kuna ka toolbar ka 2nd round applctn wamekaongeza cjui wana maana gani? Hapa nilipo ni ful kamkojo kila wakati i dnt thnk ka leo usiku nitalala vizuri aiseee

Usi ogope Mkuu hata account ya jamaa yangu aliye chaguliwa UD mambo ni yale yale
 
Back
Top Bottom