prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 191
Kuna mdogo wangu elimu yake ilikuwa hivi;alisoma shule ya msingi darasa la kwanza,la pili then akarukishwa hadi la nne alionekana kichwa akapelekwa form 1 akamaliza vzuri then akaenda advance akafanya vzuri,alichaguliwa chuo then akaenda kusoma sheria,sasa ameniambia anataka kusoma masters ya technological law ila anataka kuwa wakili,m nilishauriana na wanasheria baadhi wakanishauri asome law school kwanza but dogo amegoma,WANA JF huyu dogo yupo sahihi kweli?
mwambie dogo aende law school aache mbwembwe ,sheria watu hawakurupuki mambo yanaenda kwa utaratibu huku sio shule ya msingi.
amejidanganya na amedanganyika kwelikweli kuwa ana akili, kumbe ana taahira ya akili
Mwacheni afanye anachotaka. Mwishoni atatia akili.
duh!mtoto akililia wembe?
Ni vyema kufuata ushauri wa wataalamu wa Sheria walivyokushauri!!!
nafikiria kumuita pamoja na hawa watu wa sheria achonge nao yeye mwenyewe
21 yearskwan yeye ni mtoto sana kiac cha kutojitambua hadi umwekee vikao na watu mkuu??
21 years,amemaliza chuo anasubiri gamba lake, m nataka aende njia sahihi au unasemaje???????kwan yeye ni mtoto sana kiac cha kutojitambua hadi umwekee vikao na watu mkuu??
21 years
mh..!!21yrz ni degree holder kwa bongo hii?
Very interesting...
mh..!!21yrz ni degree holder kwa bongo hii?
anakihere here na kihede mswede huyo bwa mdogo