Ushauri kwa huyu dogo

Ushauri kwa huyu dogo

prakatatumba

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
1,328
Reaction score
191
Kuna mdogo wangu elimu yake ilikuwa hivi;alisoma shule ya msingi darasa la kwanza,la pili then akarukishwa hadi la nne alionekana kichwa akapelekwa form 1 akamaliza vzuri then akaenda advance akafanya vzuri,alichaguliwa chuo then akaenda kusoma sheria,sasa ameniambia anataka kusoma masters ya technological law ila anataka kuwa wakili,m nilishauriana na wanasheria baadhi wakanishauri asome law school kwanza but dogo amegoma,WANA JF huyu dogo yupo sahihi kweli?
 
mwambie dogo aende law school aache mbwembwe ,sheria watu hawakurupuki mambo yanaenda kwa utaratibu huku sio shule ya msingi.
 
asante mkuu!dogo nitamrudia oimpe madini
 
Mwacheni afanye anachotaka. Mwishoni atatia akili.
 
Ni vyema kufuata ushauri wa wataalamu wa Sheria walivyokushauri!!!
 
kwan yeye ni mtoto sana kiac cha kutojitambua hadi umwekee vikao na watu mkuu??
21 years,amemaliza chuo anasubiri gamba lake, m nataka aende njia sahihi au unasemaje???????
 
Back
Top Bottom