Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo.
Mimi nashauri route ya daladala ibaki kama zamani lakini daladala zinazoenda mipango zipite njia ile ile ya zamani na abiria wanaoenda hapa machinga jengo jipya washushwe na kupakiwa kituo cha posta. Posta kutembea kwenda machinga ni karibu tu. Baadae ring road zinazojengwa zikikamilika malori na mabus yatakuwa hayapiti ktkt ya mji basi njia inaweza kurudi kama ilivyo sasa.
Nawasilisha kwako mkurugenzi wa jiji.
Asante