Ushauri kwa John Heche: Tumia soft language, Choose your words carefully, wanakulia timing tu! Usiwape nafasi ya kukuweka mahabusu bila dhamana

Ushauri kwa John Heche: Tumia soft language, Choose your words carefully, wanakulia timing tu! Usiwape nafasi ya kukuweka mahabusu bila dhamana

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Kwa hapa tulipofikia chunga sana maneno yako, be soft but hit the point! Carefully choose your words during mikutano yako. Likewise, kwa wenzako!

Wanakulia timing wakuweke ndani mapaka uchaguzi uishe. chama kitayumba bila wewe

HAWA HAWANA DINI, NI WANYAMA , NUNDA WALA WATU
 
Back
Top Bottom