Jukwaa la kikristo Tanzania limetoa waraka kwa sisi waumini kuhusu mambo yanavyoendelea katika bunge la katiba na kwamba waumini wa kikristo na wote wenye mapenzi mema waikatae katiba itakayopatikana. Ushauri wangu kwa jukwaa uanze kuwatenga wakristo wote waliopo bunge la katiba na uamuzi huo uutangazwe makanisani.