Ushauri kwa Kiba

Labda unatumia tekno ndo maana unaona picha za wizzy km anatumia nokia torch
Hujajibu swali kama tatizo ni photographer nitajie photographer wa p square davido au wizkidayo
 
Hujajibu swali kama tatizo ni photographer nitajie photographer wa p square davido au wizkidayo
Kwani akitafuta production yake kuna ubaya.? sio lazma awe kama hao uliowataja. yeye levo yake ni zaidi ya hao. usimfananishe alikiba na huo uchafu
 
Dah haters bwana kama tatizo ndo hilo mbona wizkid anapost video na picha zilizopigwa na Nokia tochi lakini anakubalika dunia nzima team domo bwana mnashabikia shoga lile linavaa minguo mapaja nje hereni katoboa pua kweli shetani ana nguvu
Huyu ndo dizain ya mashabiki wa Alikiba! Kwa style ya watu wa hivi ambao Kiba akishauriwa wanatokwa mapovu ataelewa kweli?
 
Watu walishazipita hizo levo, wapo mbali saaaaana tena ile ya vituo vya tv/redio zenyewe ndio zinazojiona zina bahati ya kumuhoji msanii huyo, na si huyo msanii kujiona ndio mwenye bahati.
 
Hujajibu swali kama tatizo ni photographer nitajie photographer wa p square davido au wizkidayo
Kwani kutokuwajua,maana yake wanaji photoa wenyewe ???
 
Watu walishazipita hizo levo, wapo mbali saaaaana tena ile ya vituo vya tv/redio zenyewe ndio zinazojiona zina bahati ya kumuhoji msanii huyo, na si huyo msanii kujiona ndio mwenye bahati.
Sorry niliandika loo... Simu inazingua
 
yoyote anaemshabikia omary nyemo nahisi achunguzwe
jamaa limekaa kama mpunga!!
ma video ya kipunga punga
afu mnalipa sifa
 
Let him do what his heart desires! You can't force someone to live according to people's opinion! He is a star...YES, he has unique ways of dealing with his life....sio nyie mnataka show off mpaka shingo zinapinduka! For Christ's sake, let him be!
 
Kiba hajui anachofanya
Hata harnonize amemshinda
 
Dah haters bwana kama tatizo ndo hilo mbona wizkid anapost video na picha zilizopigwa na Nokia tochi lakini anakubalika dunia nzima team domo bwana mnashabikia shoga lile linavaa minguo mapaja nje hereni katoboa pua kweli shetani ana nguvu
Sio kid tunaemfaham
Hiyo cm yako Itakua imechakaa screen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…