pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Hujajibu swali kama tatizo ni photographer nitajie photographer wa p square davido au wizkidayoLabda unatumia tekno ndo maana unaona picha za wizzy km anatumia nokia torch
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali kama tatizo ni photographer nitajie photographer wa p square davido au wizkidayoLabda unatumia tekno ndo maana unaona picha za wizzy km anatumia nokia torch
Diamond is underratedKiba is overrated.
Kwani akitafuta production yake kuna ubaya.? sio lazma awe kama hao uliowataja. yeye levo yake ni zaidi ya hao. usimfananishe alikiba na huo uchafuHujajibu swali kama tatizo ni photographer nitajie photographer wa p square davido au wizkidayo
Hawa wanapenda udaku kuwazidi hadi dada zaoMwanaume wa dar
Diamond is underrated
hivi hata ushauri ni udaku.? zis iz tumach aseeHawa wanapenda udaku kuwazidi hadi dada zao
Huyu ndo dizain ya mashabiki wa Alikiba! Kwa style ya watu wa hivi ambao Kiba akishauriwa wanatokwa mapovu ataelewa kweli?Dah haters bwana kama tatizo ndo hilo mbona wizkid anapost video na picha zilizopigwa na Nokia tochi lakini anakubalika dunia nzima team domo bwana mnashabikia shoga lile linavaa minguo mapaja nje hereni katoboa pua kweli shetani ana nguvu
Inasikitisha sanaHuyu ndo dizain ya mashabiki wa Alikiba! Kwa style ya watu wa hivi ambao Kiba akishauriwa wanatokwa mapovu ataelewa kweli?
Tanzania nzima msanii anayeongoza kwa video na picha nzuri social network ni omydimpoz Kwa kigezo gani kwamba Ommy Dimpomz ndio picha zake na video nzuri ???na anachukua na simu tu hana photographer wala nini kujitia gharama za bure tu Anachukua na simu self au zile za jukwaani ana perfom .....maana zile za jukwaani ni lazima pawe na mtu anayezipiga si wewe unaye perfom, sasa niambie anafanyiwa bure ?? hebu nitajie photographer wa davido na wizkid ili twende sawa Kwa maantiki hiyo basi wanaji photoa wenyewe .... Yaani mtu yuko na private jet kisha ampe mtu simu amwambie uwe unanipigia picha na hii simu si ndio .....na huyo mtu anafanya bure si ndiosamsun maana pagan hana dini haha![]()
Watu walishazipita hizo levo, wapo mbali saaaaana tena ile ya vituo vya tv/redio zenyewe ndio zinazojiona zina bahati ya kumuhoji msanii huyo, na si huyo msanii kujiona ndio mwenye bahati.
Kwani kutokuwajua,maana yake wanaji photoa wenyewe ???Hujajibu swali kama tatizo ni photographer nitajie photographer wa p square davido au wizkidayo
Sorry niliandika loo... Simu inazinguaWatu walishazipita hizo levo, wapo mbali saaaaana tena ile ya vituo vya tv/redio zenyewe ndio zinazojiona zina bahati ya kumuhoji msanii huyo, na si huyo msanii kujiona ndio mwenye bahati.
Sijakuelewa !!Sorry niliandika loo... Simu inazingua
yoyote anaemshabikia omary nyemo nahisi achunguzweTanzania nzima msanii anayeongoza kwa video na picha nzuri social network ni omydimpoz na anachukua na simu tu hana photographer wala nini kujitia gharama za bure tu hebu nitajie photographer wa davido na wizkid ili twende sawa samsun maana pagan hana dini haha
Bi zari haukai mbali, poleHuyo yupo yupo tu,hafadhari ya Shettah anaishi kistaa,lakini sio huyo.
Picha; Usiku wa Shetta, atambulisha menejimenti na kushukuru mashabiki
Kumbe we Zari hongera,vipi Tiffah ajambo ???Bi zari haukai mbali, pole
Sio kid tunaemfahamDah haters bwana kama tatizo ndo hilo mbona wizkid anapost video na picha zilizopigwa na Nokia tochi lakini anakubalika dunia nzima team domo bwana mnashabikia shoga lile linavaa minguo mapaja nje hereni katoboa pua kweli shetani ana nguvu