Buti la jeje
Member
- Sep 2, 2020
- 9
- 11
Kama wewe ni kijana na umemaliza chuo, nakushauri kaaa nyumbani usitoke mpaka utakapoona unaweza kujimudu. Usijaribu kujimwambafai ukaona umeshakua unataka kuanza maisha yakujitegemea.
Kaa nyumbani tuliza akili na hata kama ukipata kazi usijifukuzishe nyumban mapema kaa mpk utakapoana muda muafaka umefika...kitaa ni kigumu na kina mambo mengi. Nyumban ndo sehem pazuri na salama.