Ushauri kwa kijana aliye maliza chuo

Ushauri kwa kijana aliye maliza chuo

Buti la jeje

Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
9
Reaction score
11
Kama wewe ni kijana na umemaliza chuo, nakushauri kaaa nyumbani usitoke mpaka utakapoona unaweza kujimudu. Usijaribu kujimwambafai ukaona umeshakua unataka kuanza maisha yakujitegemea.

Kaa nyumbani tuliza akili na hata kama ukipata kazi usijifukuzishe nyumban mapema kaa mpk utakapoana muda muafaka umefika...kitaa ni kigumu na kina mambo mengi. Nyumban ndo sehem pazuri na salama.
 
Watakaa nyumbani mpaka lini?.........mimi kitaa ndio kimenifanya nikawa mgumu zaidi ya jana×2
Dah.....kwani ujipe shida.....mie binafsi mwaka wa 11 huu....nipo kwa Shem nabadilisha channel tu za tv 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hasaaa ukweli mtupu usijaribu kufosi mambo yaliyo nje ya uwezo wako. kaa nyumbani upate uhakika wa kula na kulala
 
Back
Top Bottom