Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Mind you Mandela siyo mjane, alimtariki mkewe Winnie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo langu ni Umri:
Mandela alimuoa Graca! Ni vyema wajane wakaolewa/oa na watu walokuwa katika "rika" linalowiana"!
29 years of age wengine tulikuwa bado hatujafikiria hata kuoa - na hata mahusiano yetu hayakuwa "so skewed in terms of age"!
Huyu kijana bado mdogo kuwa na mahusiano na mwana-Mama!
no wonder ndoa za sasa hazidumu, hao vipusa mnaowasemea ndio wanafanya ndoa kila kukicha kula na matatizo kibao, mnaangalia upusa hamuangalii zaidi......mbona cc wanawake tunaweza kuwalea watoto tuliowakuta nao waume zetu?....kashasema mwanaume alifariki kwa ajali.
I'm saying it again: Kijana wa kiume kuoa mwanamke ambaye tayari alishazaa na mwanamume mwingine ni kuingia kwenye matatizo yasiyo ya lazima! Mwanaume lazima ufurahie uzao wako wa KWANZA! Kama una miaka 29 bado una nafasi kubwa ya kuingia "labor ward" kumuangalia "mwanamke wako" ambaye hajawahi kuingia mahala hapo.
Acheni kumpotosha kijana - Wasichana warembo wapo wengi tu.
Mind you Mandela siyo mjane, alimtariki mkewe Winnie.
Nyamayao wanawake wote waliofiwa na waume zao mara nyingi hawasemi ukweli utakuta mume kafariki kwa kale kaugojwa ka nyumbani utakwambia kafari kwa ajali.Huyu kijana lazima ampeleke huyo mwanamke hospital afanyiwe vipimo vyote nina wasiwasi na afya za akina mama waliofiwa na waume zao.
Idadi ya wanawake ni kubwa zaid ya idadi ya wanaume sasa inakuwa taabu tupu kwa mwanaume kumwoa mwanamke alieingia kwenye ndoa wakati kuna idadi kubwa ya wanawake wanasubiri kupata ndoa.Chonde chonde mwambie huyo mwanamume amtose huyo mama atafute mwanamke mbichi aanze maisha mapya na mawanamke mpya na familia mpya asichukue scraper

Baba Enock, shukuru Mungu sana ulibahatika kuoa mapema na inawezekana ulioa aliyepitiwa na watu wengi sana ila hukuona wala hukujua kama watu wallipita kilichokudanganya tu ni le kwamba hakuwa amezaa.
Wanawake walioachika na waume zao wako juu wanaolewa kila siku ya Mungu kuliko hao unaofikiria wewe na kuwaita the way you want.
Kija kaza buti oa fasta kabla hawajakuwahi wenzio.
baba enock wewe unataka uwe wa kwanza tu kumpelea labor room?!
hao walioko mitaani weshatoa mimba kadhaa na hamuwasemi, aliyezaa kwa kihalali na kufiwa na mumewe ndio imekuwa tabu.
kaka muoe eee kaa umempenda na utazidi kubarikiwa kwenye ndoa yako.
Mimi sioni tatizo lolote hapo baba _ Enock, la muhimu watu wamependana na wanaheshimiana , lkn kusema eti ni lazima Aoe mwanamke ambaye bado hajazaa si kweli , hiyo inaweza ikawa ni njia yake nzuri katika maisha yake. ninamaana ya kuwa mm niliolewa nikiwa na umri wa miaka 29 na nilikuwa na watoto wawili, na niliolewa na kijana ambaye hakuwahi kuwa na mtoto . nashukuru Mungu tunaishi vizuri na tunapendana sana.
Miaka 29 unahangaika na jimama ambalo lilikwishaolewa na kuwa-widowed WHY?
Kama ni tamaa ya mali za marehemu mwambie aendelee; kama ni kutaka mke wa kuoa mwambie tamaa itampeleka pabaya!
Tatizo langu ni Umri:
Mandela alimuoa Graca! Ni vyema wajane wakaolewa/oa na watu walokuwa katika "rika" linalowiana"!
29 years of age wengine tulikuwa bado hatujafikiria hata kuoa - na hata mahusiano yetu hayakuwa "so skewed in terms of age"!
Huyu kijana bado mdogo kuwa na mahusiano na mwana-Mama!
kama mwanamama umri unaruhusu bado hana haki?...may b 25-29....mtoa thread hebu tuambie mwanamama ana age gani...au shida hapa ni kwamba kashaitwa mama?
...Kweli FL1 mbona wanaume wakifiwa na wake zao wanaoa wasichana ambao hawajawahi kuolewa. Hoja ni mapenzi na maelewano tu. Niliwahi kushuhudia harusi mjini mbeya ya mwanamke aliolewa mara ya kwanza na kuzaa watoto watatu na akaachwa na mumewe akaja kuolewa tena. Bahati nzuri nilialikwa kwenye huo mnuso na mdada anakula bata mpaka leo tangu 1999...:A S 8::A S 8:Baba Enock Kumbuka mapenzi hayachagui huyo mama hakupenda mmewe afariki...na kama yeye na kijana wameona ni vema kuwa pamoja sioni tatizo hata kidogo...
Mwenyezi mungu awatangulie katika hili jema
Kijana hajakosea hata kidogo..
To clarify mwanamke ana umri wa miaka 29 in short wote wanalingana pia kuna watu walihitaji kufahamu kwamba mume wake alikufa kwa ajali ya gari na hilo limethibitishwa na familia ya mwanamke pia