Duh! Usione watu wanaenda kazini kila siku. Kuna mengi.
Asante kwa ushauri, ni kweli malengo hayakutumia, kuna suala liliingilia kati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni saana watumishi wa umma..
Sijawabeza..Asante, watu wanatoka familia tofauti kwa hiyo pamoja na maisha na mazingira magumu kwao ni heri na faraja tele moyoni usiwabeze
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaa!!!hapo anatakiwa abaki na 250,000/ ambapo pesa atakayochukua akilia bata ataanza kuiona kazi ni chungu.Sera ni kwamba katika makato yako yote ya mikopo ukatwe lakini ubakie na take home kuanzia 50% mpaka 40% ya mshahara wako, kwa hiyo wewe kopa tu mshahara bado mnono huo.
pbz ndio benki ipi?Ingia PBZ mkuuu take home hiyo inakupa loan nono kabisa na utasahau shida zooote
Sent using Jamii Forums mobile app