Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Msimu Ujao Tunaenda Caf Champions League Sasa Kwa Wachezaji Hao Ndugu Yangu Kweli Tutafanya Kitu Huko, Saiv Tunatakiwa Tusajili Wachezaji Wenye Experience Na Ile Michuano Ndo Waje Kucheza Yanga Msimu UjaoKuna wachezaji Nabi alisema amevutiwa nao msimu huu na wote wapo Geita gold
Mpole- straika
Kelvin nashon- kiungo
Mimi nadhani tunamhitaji kelvin zaidi kuziba pengo la bangala pindi anapokosekana.
Watu Kama Akina Adebayor, Aziz Ki Beki Kama Inonga Ndo Tunataka Kuona Msimu Ujao JangwaniFirst eleven mbona tayari tunayo...hizo mechi ziwe kwaajili ya kuwaweka fit wachezaji watakao toka majeruhi kina feisal,aucho,bangala na moloko na wale ambao hawakupata sana nafasi mechi zilizopita.
E bhana kinyundo penye mshono [emoji375] [emoji23]Lengo lako nalijua. Unataka kutuhadaa timu ibweteke halafu mje kutumia reference kuwa ni kawaida ya uto kuungoza ligi muda mrefu halafu kombe hachukui
Akiendelea kubweka mpe tena za uso huyo MAKOLOKOLO [emoji847]
Kwani Mpole hana Experience? Hata hivyo nilikuwa nazungumzia wachezaji wa ndani.Msimu Ujao Tunaenda Caf Champions League Sasa Kwa Wachezaji Hao Ndugu Yangu Kweli Tutafanya Kitu Huko, Saiv Tunatakiwa Tusajili Wachezaji Wenye Experience Na Ile Michuano Ndo Waje Kucheza Yanga Msimu Ujao
Ok SawaKwani Mpole hana Experience? Hata hivyo nilikuwa nazungumzia wachezaji wa ndani.
Kuna jamaa yuko Dodoma jiji anaitwa Cleophas Mkandala ni fundi sanaKuna wachezaji Nabi alisema amevutiwa nao msimu huu na wote wapo Geita gold
Mpole- straika
Kelvin nashon- kiungo
Mimi nadhani tunamhitaji kelvin zaidi kuziba pengo la bangala pindi anapokosekana.