Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Msimu Ujao Tunaenda Caf Champions League Sasa Kwa Wachezaji Hao Ndugu Yangu Kweli Tutafanya Kitu Huko, Saiv Tunatakiwa Tusajili Wachezaji Wenye Experience Na Ile Michuano Ndo Waje Kucheza Yanga Msimu UjaoKuna wachezaji Nabi alisema amevutiwa nao msimu huu na wote wapo Geita gold
Mpole- straika
Kelvin nashon- kiungo
Mimi nadhani tunamhitaji kelvin zaidi kuziba pengo la bangala pindi anapokosekana.