Ushauri kwa Mange Kimambi

Mbona mimi cna uadui nae?
 
Aliyekusumbua nani? Umbea tu kuna aliyekutuma uingie humu, ntolee genye zako shwetani mwekundu wewe
Kama hukutaka tusome umeweka uzi wa nini siungeandika text umtumie basha wako povu nenda kajampie mbele huko nyoo
 
Mkuu sina hakika kama mambo yako binafsi unayaweza maana unafuatilia sana maisha ya wengine. Nahisi utakuwa hamphrodite. Fanya yako. Achana na maisha ya watu. Kama unaona anakosea nenda kwenye ukurusa wake wa insta na siyo kuleta njaa zako hapa.
 
Lakin kama anaishi na anatimiza majukum ya familiar yake kwake ni sawa tu...
Tunaongelea elimu aliyoipata na jinsi inavyomsaidia na kusaidia wengine, kama ni hivyo aache kumnanga makounder coz ye mwenyewe hatumii taaluma yake zaidi ya kuropoka mitandaoni.
 
kamtafute page yake ya ista na usisahau kumtag daudi
Hana uwezo huo mkuu, anajua akili ya Mange ilivyo ndio maana anakuja kulilia pembeni huku, teh teh teh..
 
Watu wana vichambo vya mwendo kasi, ntakula nao sahani moja, Mimi ndo warumi, jeshi la mtu mmoja, lol
Mfate insta huko mkuu tupate kujua wasifu wako kwa undani.
 
Ndio mana imeongoza TZ nzima kuwa na zero kidato cha nne
 

Mleta mada unaelimu gani ya Mage kimambi inaeleweka yako je?
 
We unavyeti fake,kama anaongea ukweli hana makosa.hata ww unauhuru wa kuongea.ndomana umepost si kwamba watu wote tumependa
 
Tujadili Elimu ya mleta Uzi mwenyewe hata Makonda alikua anakagua wenye vyeti feki wakati naye ana cheti tuanze na mleta uzi ana Elimu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…