Ushauri kwa Mange Kimambi

Mfate insta huko mkuu tupate kujua wasifu wako kwa undani.
Yeye mbona hawafuatag watu live anaishia kuwachamba nsta, angekuja bongo kama wasingemtoa vigoko vyake kama fuvu la zinjotropas
 
Tujadili Elimu ya mleta Uzi mwenyewe hata Makonda alikua anakagua wenye vyeti feki wakati naye ana cheti tuanze na mleta uzi ana Elimu gani?
Muulize baba ako, mwenzenu anapigwa kiyoyozi nyie mnamaliza bundle zenu, huh umaskini na wivu utawaua
 
Kipindi hiki cha kumrarua Makonda kisa kaamua kupambana na madawa ya kulevya kimenisaidia kujiridhisha kweli watanzania wengi wanavuta bangi. Mi niliamini ni kanda ya kaskazin ndo huvuta kwa wingi lakin nilijielekeza vibaya. Hivi kweli kama nguvu ya kupambama na Makonda inafikia nusu ya nguvu ya kulaani madawa ya kulevya ambayo ni hatar zaid?. Na nahis wanaoshinda mitandaon kila dakika hasa jobless ni watumiaj pia au wanaishi kwa nguvu za watumiaj. Kwa sasa utadhan vyet feki ni tatzo kuliko madawa ya kulevya!!!!
 
Ulidhani kuishi US ndo utakua unaogopwa, Lulu tu anakutoa nishai umfikii hata unyayo, sasa makonda utamuweza kwa maisha yake? Atakulelea wewe na familia yako mwaka mzima awalishe
 
Mkuu amewahi kukuomba hela?,kama hajawahi basi ujue anajiweza hata kama vyeti kavifungia,sio kila mtu anakwenda shule kwa lengo la kuajiriwa.Jambo lingine ni kwamba watu hufanya mambo ambayo huwafurahisha,yy kachangua maisha yanayompa raha,sasa who are you to judge her?
 
Ni kweli, lakini haileti uhalali wa mtu kufoji vyeti.
 
Naona unataka kuvuliwa Nguo hadharani.....kama upo tayar kwa pambano na huna woga mfate insta.....otherwise utakuwa unamwogopa
Kumbe mnajuwa kabisa huyo Mangereza kazi yake kuvua watu nguo?Nayeye akivuliwa mbona huwa anapandwa kichaa
 
Mange statute maisha aache kuropoka hovyo, ndoa imemshinda, hana mbele wala nyuma anabaki kufuatilia maisha ya watz waliomshinda ***** zake,makonda anampa homa akilala akiamka anamuwaza makonda
Eti ndoa imemshinda [emoji2] [emoji2] watu washakunaku nyie Mmh!! Kwani yeye ni wa kwanza kuachika? Kama huijui ndoa bora ukae kimya tu ule ni muunganiko wa kiutu uzima na akili zako za kitoto hizo hautouelewa kamwe
 
Anajuaje kua makonda anavyeti feki, kingine ni hivi, toka alipoanza makonda kazi hadi sasa hatujaona ishara ya cheti feki hapo,mmmhhh! Namkumbuka MZEE wangu ngoyai lowasa baada tu yakua PM maneno yalianza oh! Rafiki Wa mzee kikwete Mara oh! Ni fisadi hatuwezi kuongzwa na fisadi kisa alikua anafanya kazi zake kwa kusimamia misingi ya haki na uwajibikaji, mwisho wakaweza kudhoofisha kiutendaji na akaamua kuachia ngazi, Leo sasa wale wale wanampenda nakusifia bila aibu waliyomfedhehesha mwenye yanga wamesahau, na kwa makonda ndo hayo hayo hivo naona nikelele tu za chura
 
Daudi alipata Fa fa fa fa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Eti ndoa imemshinda [emoji2] [emoji2] watu washakunaku nyie Mmh!! Kwani yeye ni wa kwanza kuachika? Kama huijui ndoa bora ukae kimya tu ule ni muunganiko wa kiutu uzima na akili zako za kitoto hizo hautouelewa kamwe
Ndo kashaachika anamalizia stress kwa watz ambao hawako level yake kimaisha
 
hata mke wake ana pendelea zaid jina la Daudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Die hard fans wa Bashite bado wanaendelea kulikataa jina la Daudi... cha ajabu mwenye mume anamjua mumewe kwa jina la Daudi.... haya endeleeni kubishana na wifi yenu.View attachment 475319

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…