Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Nikuulize wewe kwanza maana mnaipigia kelele hili swala elimu zenu za kuunga unga Kama mwenyekiti wenuUna cheti original???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuulize wewe kwanza maana mnaipigia kelele hili swala elimu zenu za kuunga unga Kama mwenyekiti wenuUna cheti original???
Muulize baba ako, mwenzenu anapigwa kiyoyozi nyie mnamaliza bundle zenu, huh umaskini na wivu utawauaTujadili Elimu ya mleta Uzi mwenyewe hata Makonda alikua anakagua wenye vyeti feki wakati naye ana cheti tuanze na mleta uzi ana Elimu gani?
Pedeshyee lisilobadili Nguo all the time yeye ni Bukta na shati lake lile la njugu njugu
Ni kweli, lakini haileti uhalali wa mtu kufoji vyeti.Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Kumbe mnajuwa kabisa huyo Mangereza kazi yake kuvua watu nguo?Nayeye akivuliwa mbona huwa anapandwa kichaaNaona unataka kuvuliwa Nguo hadharani.....kama upo tayar kwa pambano na huna woga mfate insta.....otherwise utakuwa unamwogopa
Eti ndoa imemshinda [emoji2] [emoji2] watu washakunaku nyie Mmh!! Kwani yeye ni wa kwanza kuachika? Kama huijui ndoa bora ukae kimya tu ule ni muunganiko wa kiutu uzima na akili zako za kitoto hizo hautouelewa kamweMange statute maisha aache kuropoka hovyo, ndoa imemshinda, hana mbele wala nyuma anabaki kufuatilia maisha ya watz waliomshinda ***** zake,makonda anampa homa akilala akiamka anamuwaza makonda
Ndo kashaachika anamalizia stress kwa watz ambao hawako level yake kimaishaEti ndoa imemshinda [emoji2] [emoji2] watu washakunaku nyie Mmh!! Kwani yeye ni wa kwanza kuachika? Kama huijui ndoa bora ukae kimya tu ule ni muunganiko wa kiutu uzima na akili zako za kitoto hizo hautouelewa kamwe
Kuachika hata si jambo la ajabu, lete lingine kama unaloNdo kashaachika anamalizia stress kwa watz ambao hawako level yake kimaisha
hata mke wake ana pendelea zaid jina la DaudiAnajuaje kua makonda anavyeti feki, kingine ni hivi, toka alipoanza makonda kazi hadi sasa hatujaona ishara ya cheti feki hapo,mmmhhh! Namkumbuka MZEE wangu ngoyai lowasa baada tu yakua PM maneno yalianza oh! Rafiki Wa mzee kikwete Mara oh! Ni fisadi hatuwezi kuongzwa na fisadi kisa alikua anafanya kazi zake kwa kusimamia misingi ya haki na uwajibikaji, mwisho wakaweza kudhoofisha kiutendaji na akaamua kuachia ngazi, Leo sasa wale wale wanampenda nakusifia bila aibu waliyomfedhehesha mwenye yanga wamesahau, na kwa makonda ndo hayo hayo hivo naona nikelele tu za chura
Die hard fans wa Bashite bado wanaendelea kulikataa jina la Daudi... cha ajabu mwenye mume anamjua mumewe kwa jina la Daudi.... haya endeleeni kubishana na wifi yenu.View attachment 475319
Mange ulijua ukisoma dubai ndo utakua diwani au mbunge? Nyoko zako hata uwenye kiti wa serikali za mitaa hupati,waache akina makonda na vyeti feki wale bata,tatizo una nyota chafu,kila ukigusa panadoda,unabaki kupagawa na makonda ,ngoja siku akupe dudu la mat*k*n ndo uache kumtaja bibi gagula wewe
hahahhahahah...siyo mkorintoWe sio warumi, ni wakolosai.