Nakuonaga wa maana warumi kumbe akiri yako ni fupi Mange yupo sahihi hachafui mtu kwani uongo Paul Makonda haha hajafekifekiKwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Anamsikia tu naonaHahahaa nimecheka sana mkuu. Ajaribu kumtupia kule aone moto wake. Uoga mbaya sana.
Mkuu sijakuelewa naona umefura hasira na majibu yasiyo na staha!!...kwani Vip mbona matusi!!.. Mbona unahasira kwan we na Mange mnagombania bwana maana si kwa hasira hizi!!....Mshauri Malaya mwenzenu akabebe mabox aache kuhangaika na watanzania kama alichezea maisha ni yeye, wivu tu na roho mbaya zimemjaa
Kwan hajaachika? Maisha yamempiga hana mbele wala nyuma kabaki kutukana watu ovyo instaEti ndoa imemshinda [emoji2] [emoji2] watu washakunaku nyie Mmh!! Kwani yeye ni wa kwanza kuachika? Kama huijui ndoa bora ukae kimya tu ule ni muunganiko wa kiutu uzima na akili zako za kitoto hizo hautouelewa kamwe
Ushauri mzuli ila ungemfata instagram ambako anapatikana masaa 24. Huku hawez kuuona au la atachelewa kuuonaKwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Ushauri mzuli ila ungemfata instagram ambako anapatikana masaa 24. Huku hawez kuuona au la atachelewa kuuonaKwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Wewe ndio nani vile insta? Nataka nikufollowMnamuogopa nyie misukule yake, kamuulize kwa nini aliniblock *****, mimi sishobokei vichaa mwendokasi
Huyu ndio mange nini naona kaanza ukichaa...ushuzi una postiwajeUmeposti ushuuuziii mtupu ,na mtalijua jiji mwaka huu 2017.mlizidi sana mpaka mkajifananisha na Mungu.
Low mind ni shida.Tena tunahitaji watu Kama 20 kule insta aina za kina mange
Hahaa..anadai CIA walimuomba wamuajiri abadili uraia awe mmarekani akakataa!Haaa naona umemsahau na King off social network Mzee wa Degree Tatu,ambaye mpaka leo yuko Kwa baba.
Nilidhani hapa ni mahali pa great thinkers!Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?