Ushauri kwa Mange Kimambi

Ushauri kwa Mange Kimambi

Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?

Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Nakuonaga wa maana warumi kumbe akiri yako ni fupi Mange yupo sahihi hachafui mtu kwani uongo Paul Makonda haha hajafekifeki
 
Mshauri Malaya mwenzenu akabebe mabox aache kuhangaika na watanzania kama alichezea maisha ni yeye, wivu tu na roho mbaya zimemjaa
Mkuu sijakuelewa naona umefura hasira na majibu yasiyo na staha!!...kwani Vip mbona matusi!!.. Mbona unahasira kwan we na Mange mnagombania bwana maana si kwa hasira hizi!!....
Nachompendea huyo Mange anafukuaga mambo yaliyojificha ,ambayo tulikua hatujui !! Watu kama hawa n muhimu sana hapa duniani!!.. Na uhakika angekua hajasoma asingeweza kuyafanya hayo anayoyafanya Leo ...elimu dil we kama huoni endelea na matus !! Hamna anaepay attention !!... No body pay attention to Psychotic
Nyie ndo dizain ya watu msiopenda kukosolewa!!... Nahis utakua chama cha.....
 
Eti ndoa imemshinda [emoji2] [emoji2] watu washakunaku nyie Mmh!! Kwani yeye ni wa kwanza kuachika? Kama huijui ndoa bora ukae kimya tu ule ni muunganiko wa kiutu uzima na akili zako za kitoto hizo hautouelewa kamwe
Kwan hajaachika? Maisha yamempiga hana mbele wala nyuma kabaki kutukana watu ovyo insta
 
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?

Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Ushauri mzuli ila ungemfata instagram ambako anapatikana masaa 24. Huku hawez kuuona au la atachelewa kuuona
 
Mtoa mada umechafukwa sababu mange kagusa ambako hamtaki kuguswe..ulikua wapi usitetee na wale wengine woooooote aliowachafua huyu mange?leo kaguswa bashite povu linakutoka na mitusi kibao kwa baba za watu..pole sana vumilia tu yatapita km ambavyo sisi wengine tulivumilia alipokua anamvua nguo mzee wetu lowassa kwa kushirikiana na daudi
 
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?

Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Nilidhani hapa ni mahali pa great thinkers!
 
Back
Top Bottom