Handsamjerry
Member
- Feb 18, 2011
- 10
- 4
hahahahahahaha spare my libs plsUmeposti ushuuuziii mtupu ,na mtalijua jiji mwaka huu 2017.mlizidi sana mpaka mkajifananisha na Mungu.
Wewe ultaka aitumiajeTrue fact Mkuu yan kafanya insta kama ofisi japo ndio afanyacho kina manufaa kias flan ila ujuzi wake upo stoo
Mange alishapost picha lkn watu hamkujua anamaanisha nn...kwanini hili swala la vyeti feki halikuongelewa kabla ya hili sekeseke eti mpaka yatokeee haya ndio sakata la vyeti feki limeanzaaa,acheni makonda afanye yake coz hata3kufoji vyeti ni akili pia
jibu limejitoshelezaa.kamtafute page yake ya ista na usisahau kumtag daudi
Kwani nyie mbona mko kwenye mitandao hamna kazi kwanza mjue cc na marekani tometofautina masaa sasa mange kaja kuwaomna pesa yakulakamtafute page yake ya ista na usisahau kumtag daudi
Nani huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haaa naona umemsahau na King off social network Mzee wa Degree Tatu,ambaye mpaka leo yuko Kwa baba.
umenichekesha sana kwakweliNyoka mmeqnza kutoka wenyewe mapangoni chezea moto wa vyeti feki wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ni checheee