Ushauri kwa Mange Kimambi

Ushauri kwa Mange Kimambi

Jamani...wangapi wanasoma afu professional zinawekwa sandukuni...
Kusoma ni kuutoa ujinga na kupanua mawazo...
Nahisi kusoma kumemsaidia kufanya anayofanya sasa...
Jiulize Tz walitakaga wamrudishe lkn kuna kitu wanashindiwa...hzo ni akili zake jmn...
 
Mange angekuwa mwanaume kuna watu angewagonga sana humu. Sijuhi why wanamshobokea ...nawaelewa.wadada ni haki yao umbea ila midume nayo. Hatari sana.
 
Tasnia ya habari yote ni umbea...soo hapo nafkri tunapeleka message kwa wanaume wanaosomea uandishi wa habari...
 
kwanini hili swala la vyeti feki halikuongelewa kabla ya hili sekeseke eti mpaka yatokeee haya ndio sakata la vyeti feki limeanzaaa,acheni makonda afanye yake coz hata3kufoji vyeti ni akili pia
 
kwanini hili swala la vyeti feki halikuongelewa kabla ya hili sekeseke eti mpaka yatokeee haya ndio sakata la vyeti feki limeanzaaa,acheni makonda afanye yake coz hata3kufoji vyeti ni akili pia
Mange alishapost picha lkn watu hamkujua anamaanisha nn...
Angalia picha ilikua na coment 5 baada ya hl imefikisha maelfu...hapo ndipo usomi wake ulipotumika
 
Kitu kizuri kuhusu ushauri ni kwamba sio lazima ni ushauri tu yaani unaweza tupa kwnye dustbin
 
Ungejua umuhimu wa mitandao ya kijamii katika kuhakikisha kuna kua na democrasia na utawala bora usinge yaongea hayo ulio yaongea. Hana kazi?? Sawa ila umejuaje? Usishindane na mtoto wa kike hasa katika suala la kipato. Anachokifanya mange hakuna mtanzania anayeweza thubutu hata robo
 
Wapo wengi humu wanaojifanya wana Vyeti safi hatujaona faida ya usomi wao,, Kazi kumsakama Makonda tu kisa katia pilipili kwenye Nganda haivutiki tena.

Na bado mzee alisema atakaye fika mwezi wa Saba hali akiendelea kupiga na kuishi kwa kutegemea DILI huyo atakuwa ni Kidume cha Ukweli.

Sasa HIV ndo kwanza tunamaliza Feb. Watu wamepagawa na Vyeti vya Makonda mlikuwa wapi kabla hajawakamata na Bwimbwi zenu mbona mlikuwa kimya?
 
Nashangaa eti vyeti feki,walisubiri watajwe,ndipo waseme hayo? Kama feki lkn vinafanya Kazi ya kuwataja wanao didimiza maendeleo na kuwafanya mazezete baadhi ya wenzetu,bora vyeti feki vyenye manufaa,kuliko vyeti halisi vya hasara,ni heri Mwanga kibatari nyumbani kwako,kuliko Mwanga wa taa ya umeme gerezani.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom