Ushauri kwa Mange Kimambi

Kwani mange anapomuumbua Bashite unakosea???anavyokememea utawala wa kimabavu,akipigania Uhuru wa habari unakosea???
Achana na tabia zake binafsi kama kuchamba,kupenda udaku nk.,je??kwenye hili la Bashite hamuoni kama imesaidia wizara ya elimu itilie mkazo kwenye issue ya vyeti feki!!
Vyeti feki ni hatari kwa elimu ya Tanzania ,tuvipinge kwa nguvu zote.
Labda kama warumi una chuki binafsi na mange!lakini sioni kama kuna kitu anakosea haswa kwenye hili la cheti vyeki,,sanasana anaunga mkono tamko la raisi JPM la kuhakiki vyeti.
Labda mwenzetu kughushi vyeti
 
Kwanza mange alikua anakaa deira Dubai, sehemu kama manzese huku dar, wamejaa wanaijeria na wakenya wanajiuza usiku, yani kule hakua na maisha hata kidogo zaidi ya kuuza papuchi
 
Kanataka kutafuta jina kupitia Mange

Kajitu kenyewe hata kujitawaza vizuri hakajui halafu kanataka kushindana na Mange Kimambi

Huyu hana tofauti na harmorapa
Huyo mange nampa Lulu tu au tunda, sasa kama akina Lulu tu wanamtoa jasho kimaisha sembuse makonda?? Aaaah na bado, atakunya bleed mwaka huu, mwache abwabwaje huko Install, tunajua ni stress za maisha, hana bwana wala mume
 
Aaaaah!!! Kama Lulu tu anamzidi kimaisha, unadhani mange hana hadhi gani? Kwa pesa gani? Angekua anategemea pesa za mumewe kulea watoto, huyo mange akina tunda hawapati sembuse mie
warumi kuhusu swala la elimu wewe mwenyewe kwenye uzi wako ulisema kuwa umeishia diploma

Pia umedai kuwa unakaa uswazi

Pia kuhusu pesa sidhani kama unazo kwa sababu ki umri bado we ni mdogo

Na mara nyingi nakuona humu mara kwa mara it means si rahisi kutengeneza pesa kumzidi

Nafahamu kama Mange hana pesa kihivyo lakini si maskini kama ulivyomshusha
 
Mange hampati makonda kwa lolote, mange ni takataka tu, hana maisha, anaishi kama gube gube, Lulu mwenyewe hampati sembuse makonda? Msaidieni kulea watot kwanza
 
Mange akafanye kazi mochwari, aachane na makonda, Yule ni next level
 
warumi umetumwa

Yawezekana huyo ndiyo Daud Albert Bashite mwenyewe Mkuu. Hiyo ID ipo humu kumpigania sana Jamaa kwani hata posts nyingi zinazomhusu ukikosa kuiona ID ya Mleta uzi katambike Kwenu.
 
Ushauri mzuri lakini nadhani hajawahi kukutembezea bakuli au kuomba msaada wa chakula haijalishi anaishi vipi ila anatumia akili kutafuta riziki
 
Warumi pole na majukumu mdau
Haaa naona umemsahau na King off social network Mzee wa Degree Tatu,ambaye mpaka leo yuko Kwa baba.
 
Hii mada peleka instagram ili muhusika aipate vizuri kabisa kama kweli umedhamiria, lakini kwa huku jf unatupotezea muda kusoma vitu visivyoeleweka
 
Kumbe mnamuogopa eeh? Basi mngemshauri asiwe anablock watu, maisha yameshinda US,sura hana,kaz hana,tako hana,bwana hana,mume hana manina mwanamke kajaa laana kama mavuz* ya mwanae
Seriously kaku block mwibukie na nyingine
 
Sasa ni kitu gani kinakukwaza kama hana kazi,,, ugumu wa maisha mtu anaujua mwenyewe. Muache afanye anachofanya, maana hajawahi kufukuzwa anapoishi kwa sababu hajalipa kodi.
MANGE NYOOOOOSHAAAAAAA
 
Nyie mbwa leo nitawakomesha mamayo zenu, mimi ndo jeshi la mtu mmoja, mbwa yeyote anisogelee *****, mtageuka mafuvu mwaka huu
Duuu mdau mbona unafuata mstari ule ule wa dadako hekima huinua busara
 
Sasa mbona unatwambia sis si ukamwambie huko insta anakofanyia ivo vitu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…