Kwani mange anapomuumbua Bashite unakosea???anavyokememea utawala wa kimabavu,akipigania Uhuru wa habari unakosea???
Achana na tabia zake binafsi kama kuchamba,kupenda udaku nk.,je??kwenye hili la Bashite hamuoni kama imesaidia wizara ya elimu itilie mkazo kwenye issue ya vyeti feki!!
Vyeti feki ni hatari kwa elimu ya Tanzania ,tuvipinge kwa nguvu zote.
Labda kama warumi una chuki binafsi na mange!lakini sioni kama kuna kitu anakosea haswa kwenye hili la cheti vyeki,,sanasana anaunga mkono tamko la raisi JPM la kuhakiki vyeti.
Labda mwenzetu kughushi vyeti