Ushauri kwa Mange Kimambi

Eeh bwana yupi wa kugombaniana na kigagula? Ana bwana kwani Yule? Angeua na bwana asingekua anawashwa kutwa kuchafua watu, huyo genye zinamsumbua hajapata wa kumkuna
Ha ha jf raha sana!! Kwa hyo we bwana wakukuna unae !!maana we husumbui
 
Muulze yeye kwa nini akikosolewa anablock watu? Mwambie aache stress za maisha afanye kazi makonda sio type yake
Naww Mange siyo type yako kabisaaaaa !!Mange anaongea ukwel ndo maana tunampenda !! Hakurupuki kutukana Ana data ...tafuta naww information zinazobamba tutakusikiliza tu lakin syo huko kubwabwaja na matus
 
Aaah umeona ee? Halafu matahira wenzie wanamtetea
Mi nitajie Jina lako LA Instagram !! Labda naww unacho cha kuwambia watanzania!!..
Ingawa sidhan!!... Usijifananishe na huyu Dada wewe .. Ye akiongea au kupost kitu lazma ukisome maana lazma kina ukweli au kipo kinakuja hakurupuki yulee
 
kwanini hili swala la vyeti feki halikuongelewa kabla ya hili sekeseke eti mpaka yatokeee haya ndio sakata la vyeti feki limeanzaaa,acheni makonda afanye yake coz hata3kufoji vyeti ni akili pia
Ndio nakubaliana naww!! Lakini hilo halifuti kosa!!.. Anafanya kazi nzuri lakin nayy nae inasemekana anatuhumiwa LA kugushi vyet
So kama n kweli sheria ifuatwe tu
 
Watanzania bana et atafute kazi...kazi ipi ambayo wewe unahitaji atafute na aifanye???? Mtaacha Lin kuwaelekeza watu wasiowahusu aina ya maisha mliyoyakrem?
Wewe unahtaj ushauri wa kujua mtu akichagua maisha yake n yakwake wewe hayakuhusu hata chembe...
Unapungua nn mange kushinda insta? Ulimsomesha kias kwamba unaona hafanyi kaz basi haupat rejesho la ada yako kwake?
Acha mambo za kipuuzi....

Mshauri bashte atukomeshe aweke vyeti wazi
 
Issue at hand sio Mange...issue ni Bw.Makonda auambie umma kuhusu ukweli wa vyeti vyake
 
Kuwa makini mtoa post, unafikili utaishi nchi anaishi mange kimambi kwa ujanja ujanja? unafikili kule wanaishi kama unavyofikilia, tofautisha mambele na bongo.
 
Acha kumtetea mtu mwenye ufaulu wa kusoma na kuandika... aliyejaa majivuno, jeuri, na sifa...
 
Kwanza mange alikua anakaa deira Dubai, sehemu kama manzese huku dar, wamejaa wanaijeria na wakenya wanajiuza usiku, yani kule hakua na maisha hata kidogo zaidi ya kuuza papuchi


Inawezekana na kale kazungu kake alikaokota huko kwenye migahawa ya kahawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…