James_de_Pedro
Senior Member
- Aug 4, 2016
- 165
- 73
Na ww jarbu iunde insta yako tuone ka utapata ata followers mmojaTrue fact Mkuu yan kafanya insta kama ofisi japo ndio afanyacho kina manufaa kias flan ila ujuzi wake upo stoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ww jarbu iunde insta yako tuone ka utapata ata followers mmojaTrue fact Mkuu yan kafanya insta kama ofisi japo ndio afanyacho kina manufaa kias flan ila ujuzi wake upo stoo
Ili ajadiliwe kwanza mleta madaPost za hivi huwa inapendeza zikiletwa na verified user.
Ha ha jf raha sana!! Kwa hyo we bwana wakukuna unae !!maana we husumbuiEeh bwana yupi wa kugombaniana na kigagula? Ana bwana kwani Yule? Angeua na bwana asingekua anawashwa kutwa kuchafua watu, huyo genye zinamsumbua hajapata wa kumkuna
Naww Mange siyo type yako kabisaaaaa !!Mange anaongea ukwel ndo maana tunampenda !! Hakurupuki kutukana Ana data ...tafuta naww information zinazobamba tutakusikiliza tu lakin syo huko kubwabwaja na matusMuulze yeye kwa nini akikosolewa anablock watu? Mwambie aache stress za maisha afanye kazi makonda sio type yake
Mi nitajie Jina lako LA Instagram !! Labda naww unacho cha kuwambia watanzania!!..Aaah umeona ee? Halafu matahira wenzie wanamtetea
Ndio nakubaliana naww!! Lakini hilo halifuti kosa!!.. Anafanya kazi nzuri lakin nayy nae inasemekana anatuhumiwa LA kugushi vyetkwanini hili swala la vyeti feki halikuongelewa kabla ya hili sekeseke eti mpaka yatokeee haya ndio sakata la vyeti feki limeanzaaa,acheni makonda afanye yake coz hata3kufoji vyeti ni akili pia
Watanzania bana et atafute kazi...kazi ipi ambayo wewe unahitaji atafute na aifanye???? Mtaacha Lin kuwaelekeza watu wasiowahusu aina ya maisha mliyoyakrem?Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
F zitakuwa saba he Fight For Food Four years and Forget Form FiveDaudi alipata Fa fa fa fa[emoji16][emoji16][emoji16]
Nami namshangaa,kwani alishaacha kazi "DSTV".?Umejuaje kama hana kazi???
Kwanza mange alikua anakaa deira Dubai, sehemu kama manzese huku dar, wamejaa wanaijeria na wakenya wanajiuza usiku, yani kule hakua na maisha hata kidogo zaidi ya kuuza papuchi