Ushauri kwa Mange Kimambi

Kuna aina mbili za kichaa/vichaa @1.kichaa anaemwona kichaa @2.kichaa mwenyewe
 
Huyu bibi kwa jinsi alivyokuwa Hana nidham hata kwa Wakubwa, nimetokea kumchukia mpaka nahisi hata nikiskia amekufa nitacheka Sana japo ninatambua hata Mimi nutakufa.
 
Kama Kuna anaemdiss anajiamini aende na ID yake ya ukweli insta akamletee noma ambazo mnaleta nyuma ya keyboard hapa ndio mtamjua vizuri yule dada.
 
Watu wanaotumika matundu yote ya miili yao kama huyu wana shida sana......Mange ni jeshi kubwa kuliko hilo la sizonje wenu,
Na wala haezi sumbuliwa na nyie mbwa koko......
Mabwana zenu wenyewe wametumia mpaka usalama wa taifa na wamemshindwa sembuse wewe mfuga makalio.
[HASHTAG]#HuchoFuckingMoki[/HASHTAG].
#Daud_Bashite.
 
we mbona kazi yako kupiga majungu mastar hapa JF huna kazi?
 
warumi acha wivu wa kike.Mange huwa sipendi baadhi ya harakati zake lakini kwa hili la [HASHTAG]#Bashite[/HASHTAG] nipo naye.Fanya yako. Daudi weka vyeti acha maneno.
 
Bashite anawaumiza kichwa eeh? Yule sio level yenu mumkome, na pale hawezi kutoka ng'oo, aaaaaaah aaah aliyepewa mheshimu riziki yake ni pana, mange ni fungu la kukosa, mfamaji tu hana A wala B
 
warumi hatutaki ya mange kamwambie DAUDI ALBERT BASHITE ALETE VYETI
Vyeti mmepiga makelele umeona anahangaika na nyie ? Mwenzenu yuko busy, aliyepewa kapewa tu nyie endeleeni kuimba bashite msahahua kufanya yenu, bashite hawezi kuwaletea chakula hata mumtaje miaka miaka ooooh
 
Kuna aina mbili za kichaa/vichaa @1.kichaa anaemwona kichaa @2.kichaa mwenyewe
Unajua nawashangaa?? Mnaniita chizi wakati mnajazna kwenye threads zangu kutoa mapovu yenu, si mniache au tuna share uchizi
 
digidigiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nakuona kada ktk ubora wako. Kwa hiyo wewe kwa akili yako ndogo unaona kila anayepost mambo mtandaoni hana kazi?

Hivi unajua unaweza kufanya kazi ukiwa nyumbani kwako?

Ulizia D9 Club utapata mfano.

Mitandao ipo kupashana, kujuzana na kufumbuana macho.

Ukipaniki shauri yako ila jamaa yako hana vyeti.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unatafta umaharufu kupitia mage kimambi hebu mwache maana sasahiv utararuliwa
 
Mwoga kweli wewe,unaacha kumfuata insta unatuandikia sisi huku,kwani nayeye yuko humu forum?,usiogope mfuate huko insta.
 
Mwoga kweli wewe,unaacha kumfuata insta unatuandikia sisi huku,kwani nayeye yuko humu forum?,usiogope mfuate huko insta.
Mbona yeye anawatukana watu akiwa IS si aje bongo kuwatukana huku kama hawajamkeketa makalio, mxieee anaogopwa bashite peke yake mwenye dola yake sio huyo kahaba mwendo kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…