Ushauri kwa Mange Kimambi

Ushauri kwa Mange Kimambi

Wangeanzisha hayo kabla ya tuhuma za madawa ninheelewa lkn kwa sasa haina tija na wote wahusika watashughulikiwa mno. Gwajima na kanisa lake watakiona
 
harafu huyu jamaa mwenye huu uzi alianza na uzi mwingine anasema Mchungaji Gwajima kasema uongo hakuna cheti ya division zero.....huyu ni kada wa Daudi
 
Tena tunamsubiri mange aamke aanzishe upya suala la bashite.

Mange amka
 
Nenda mfuate insta, after two days tutaona atakavyokuchambua pia
 
Nenda insta kwenye akaunti yake kisha uweke original ID yako na picha kisha umpe huo ushauri wako, baada ya mda tu sie huku JF tutajua tu warumi ni nani na elimu yako na vituko vyako vyote... Waulize wenzio.. Mange aliacha kazi bank ili afanye hii anayofanya na ndo chaguo lake... Kamuulize lemutuz
Du nimecheka ! yaani kwa Mange unachotakiwa ni kutaja jina lako la ukweli tu, then usubiri uone utakavyo ichambua historia yako yote mpk"F"ulizopata ukiwa Primary school ,anyway yuko talented kwenye collection and distribution of information lkn kipaji chake anakitumia in a wrong way at the end ana create maadui kuliko marafiki huku nyumbani.
 
Nyoka mmeqnza kutoka wenyewe mapangoni chezea moto wa vyeti feki wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ni checheee
Hili sakata la vyeti feki limekuwa zaidi ya mafuta ya taa kwenye shimo la nyoka... mi bado nasubiri filamu ya madawa ya kulevya sehemu ya tatu.
 
Huyo Mange uraia wa Marekani hana na hawezi kupata na Serikali hii anajua hawezi kurudi tz unachokifanya ni kutafuta hati ya ukimbizi wa kisiasa au kupigia chepuo upinzani ili wakishinda aweze kurudi.
 
Nachukia siasa chafu, nakumbuka Mange alitukana sana upinzani kipindi cha uchaguzi sikuona mwana CCM humu akileta thread ya kukemea wala kuhoji elimu au kazi ya Mange. Anachofanya kwa sasa pia wana CCM better kuwa kimya tu.


Samaki anayefunga mdomo hawezi kunaswa na ndoano ya mvuvi..... By Nape.



KADA
 
Back
Top Bottom