Angekuwa wakuzaa angezaa kila mtoto na baba yake lakini maumbile yake yanakataa hapo alipo tumbo kubwa ameshiba wazungu wa wanaume wenzieSasa huyo mtoto utamtolea kwa nyuma au wapi? Dunia haaiishi vituko aisee
Ohooooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angekuwa wakuzaa angezaa kila mtoto na baba yake lakini maumbile yake yanakataa hapo alipo tumbo kubwa ameshiba wazungu wa wanaume wenzie
Acheni ukike moto wa Mange ndio nini mtu mpuuzi mnampa ujiko usio maana.Anajua moto wa mange ndo maana amekimbilia huku na udaku wake.
Bora uwaambie. Sijui huyo bipolar anawapa nini? Wanamuamini ikiwa ni muongo namba moja.Acheni ukike moto wa Mange ndio nini mtu mpuuzi mnampa ujiko usio maana.
Duh!!![emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]We mbwa, kuwa mpole unapoongea na mama zako wa kambo, au tunashea dyu dyu na baba ako? Pambafuu wewe peleka laana zako chooni
Kumbe ameguswa mtu wako haswaaaaAnaogopwa makonda peke yake,chezeya central weye
Du nimecheka ! yaani kwa Mange unachotakiwa ni kutaja jina lako la ukweli tu, then usubiri uone utakavyo ichambua historia yako yote mpk"F"ulizopata ukiwa Primary school ,anyway yuko talented kwenye collection and distribution of information lkn kipaji chake anakitumia in a wrong way at the end ana create maadui kuliko marafiki huku nyumbani.Nenda insta kwenye akaunti yake kisha uweke original ID yako na picha kisha umpe huo ushauri wako, baada ya mda tu sie huku JF tutajua tu warumi ni nani na elimu yako na vituko vyako vyote... Waulize wenzio.. Mange aliacha kazi bank ili afanye hii anayofanya na ndo chaguo lake... Kamuulize lemutuz
Hili sakata la vyeti feki limekuwa zaidi ya mafuta ya taa kwenye shimo la nyoka... mi bado nasubiri filamu ya madawa ya kulevya sehemu ya tatu.Nyoka mmeqnza kutoka wenyewe mapangoni chezea moto wa vyeti feki wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ni checheee