Ushauri kwa Mange Kimambi

Ushauri kwa Mange Kimambi

Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?

Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Unajua mtu ukitegemea fedha za msaada lazma ukose cha kufanya na ushinde insta , lkn mda c mref trump atacheua
 
Kwanza wote humu majobless mbwa nyie, mnanuka mavi, Hamna kazi za kufanya, laleni mpewe dyudyu na waume zenyu, au Hamna pesa za kul

Mpwa niaje tena?

Nani kakuudhi huyo?

Halafu mpwa....kwani we hujui kuwa kama Mange akishatuambia ndo basi tena...yaani hakuna kubisha, kukataa, wala kuhoji

Bwa ha ha ha
 
Na leo nakesha na nyie mbwa mamayo zenu, mmenichokonoa mavu*I leo nitawaonyesha kwa nini maiti ikifa haifufuki mbwa nyie

Taratibu mpwa nisije nikakupoteza.

Ila kama ukipewa ban we niibukie PM nikupe moja ya IDs zangu uitumie
 
A woman of unquestioned probity....hihihiiiii

Love her.
Hate her.
She has proved that she's a force to be recon with.
A sting to our establishment!
A formidable mouthpiece to the voiceless
I'm jumping into her bandwagon just like Marta taking me to Hartsfield - Jackson from Sandy Springs!!!!
I'm carried away!
Go Mange!
Initially I didn't take her seriously, but now I am.
Live free or die
 
I don't think you're serious.

Maybe she can 'cash you ousside' ala Danielle Bregoli.
 
Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?

Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
umechokoza nyuki ww!!!..wakikung'ata utasemaje??...
 
Umeposti ushuuuziii mtupu ,na mtalijua jiji mwaka huu 2017.mlizidi sana mpaka mkajifananisha na Mungu.
Ongea vyote,ila kwenye ujinga wako usitaje jina la BABA mwenyezi muumba mbingu na nchi,yeye hafananishwi na kitu chochote,nafikiri umenielewa mdogo wanguee.G9t
 
Back
Top Bottom