Mshauri atumie cheti cha diploma yake ya ualimu...!Hicho cha advance cna hakika sana kama atapata admission popote kwa mchuano uliopo wa mwaka huu...!Ndugu wapendwa nimekutana na huyu kijana ambaye alisoma programme ya kikwete ualimu wa sayansi pale UDOM na kutimuliwa sasa alifanikiwa kumaliza kozi yake
ila anataka kusoma kozi nyingine ya degree tofauti na Education, ameomba mara ya kwanza wamemkatalia,
anaomba ushauri aombe kozi gani kwa matokeo haya,
View attachment 1598196
Natanguliza shukrani zangu za dhati,
Aksante!
Asante mkuu nitamshauri hivyo, lakini vyeti vyao vya Diploma bado havijapelekwa NACTE nafikiri maana uki-upload bado havitambulikiMshauri atumie cheti cha diploma yake ya ualimu...!Hicho cha advance cna hakika sana kama atapata admission popote kwa mchuano uliopo wa mwaka huu...!
kwa diploma wanatumia avn number cio ku uplod chet mkuuAsante mkuu nitamshauri hivyo, lakini vyeti vyao vya Diploma bado havijapelekwa NACTE nafikiri maana uki-upload bado havitambuliki