Ushauri kwa mdau aliyeamua kujiajiri lakini amekwama

Mm ningependa kujua kiasi cha mtaji ulichokiingiza kwenye mzunguko kutoa hayo marekebisho.
Halafu nipate na sababu ya kufa kwa biashara hapo naweza shauri ama kuchangia hiyo biashara.
Navojua hizi biashara faida zake ni kidogo sana. Ukikuta sehem mtu anapata laki 5 hadi 6 gawiwo kwa mwezi ujue hapo pamechangamka hasa.
 

Asante mkuu
 
unamanisha kutoa marekebisho na kodi ya pango sivyo mkuu,!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…