Ushauri kwa mimba inayoanza

Joined
Feb 14, 2018
Posts
21
Reaction score
1
Dr ,natumaini umeamka vyema,mimi shida yangu unisaidie kwa mke wa mimba ya kwanza ya mwezi mmoja,Nitumie utaratibu gani maana tumbo linamuuma kila dakka na pia ni chakula gani kinachomfaa zaidi.!Asante
 
Mimba ya mwezi mmoja bado iko chini hivyo sex msifanya mkomoeni pia epuka dog style kwa sasa.
 
Ale chakula chochote anachoweza kula kwa sasa
 
Nashukuru,mimi nlivyokuelewa nisisex naye kiukweli nimeshafanya Je kuna madhara !
Fanyeni kwa pleassure si tena ile ya kunyweana konyagi. Missionary style ndiyo kwake kwa sasa. Ukifanya kwa nguvu mimba inachoropoka.
 
Fanyeni kwa pleassure si tena ile ya kunyweana konyagi. Missionary style ndiyo kwake kwa sasa. Ukifanya kwa nguvu mimba inachoropoka.
Mimba za sikuhizi mbona zinamasharti sana, staili ni staili tu mimba ikishaingia kutoka siyo rahisi
 
Fanyeni kwa pleassure si tena ile ya kunyweana konyagi. Missionary style ndiyo kwake kwa sasa. Ukifanya kwa nguvu mimba inachoropoka.
Samahani doctor Mana kuuliza sio ujinga maziwa ya mtu mwenye mimba yana anaza kua magumu mimba ikiwa na miez mingapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…