king can janja
Member
- Feb 14, 2018
- 21
- 1
Dr ,natumaini umeamka vyema,mimi shida yangu unisaidie kwa mke wa mimba ya kwanza ya mwezi mmoja,Nitumie utaratibu gani maana tumbo linamuuma kila dakka na pia ni chakula gani kinachomfaa zaidi.!Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimba ya mwezini mmoja bado iko chini hivyo sex msifanya mkomoeni pia epuka dog style kwa sasa.
Nashukuru,mimi nlivyokuelewa nisisex naye kiukweli nimeshafanya Je kuna madhara !Mimba ya mwezi mmoja bado iko chini hivyo sex msifanya mkomoeni pia epuka dog style kwa sasa.
Fanyeni kwa pleassure si tena ile ya kunyweana konyagi. Missionary style ndiyo kwake kwa sasa. Ukifanya kwa nguvu mimba inachoropoka.Nashukuru,mimi nlivyokuelewa nisisex naye kiukweli nimeshafanya Je kuna madhara !
Mimba za sikuhizi mbona zinamasharti sana, staili ni staili tu mimba ikishaingia kutoka siyo rahisiFanyeni kwa pleassure si tena ile ya kunyweana konyagi. Missionary style ndiyo kwake kwa sasa. Ukifanya kwa nguvu mimba inachoropoka.
Samahani doctor Mana kuuliza sio ujinga maziwa ya mtu mwenye mimba yana anaza kua magumu mimba ikiwa na miez mingapi??Fanyeni kwa pleassure si tena ile ya kunyweana konyagi. Missionary style ndiyo kwake kwa sasa. Ukifanya kwa nguvu mimba inachoropoka.