Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Nikianzaga kusikiliza playlist ya Konde boy basi hua nainjoy Sana...Jamaaa anaimbaaaa aiseee [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Huu ni ushauri kwa Harmonize
View attachment 2869848
1.punguza Bangi
2.Kuwa na creativity upande wa collabo.. Achana na wasanii wa hapahapa.. Mtafute hata lilbaby piga nae collabo la Karne.
3.OA
4.Hakikisha hauwasiliani na Diamond. Vimba.
5.Mwezi wa 9 mwaka huu Usisafiri.
Yangu ni hayo tu... Ukiona naandika kitu ujue tiyari Nina mafile yako.
Wewe ni kioo cha jamii.... Badilika [emoji1241]
Single again
Nimependa tena
Namficha
Mwaka wangu
My way
Bakhresa
Naogopa
Follow me
Mtaje
Amelowa...