Ushauri kwa msanii Harmonize

Nikianzaga kusikiliza playlist ya Konde boy basi hua nainjoy Sana...

Single again
Nimependa tena
Namficha
Mwaka wangu
My way
Bakhresa
Naogopa
Follow me
Mtaje
Amelowa...
 
Kwamba huyu dogo anaongea vizuri na diamond?
 
Siku hizi interest yake kubwa itokanayo na ushamba ni wanawake hasa wenye makalio makubwa kuliko kufikiria njia ya kupandishwa muziki wake.
Mapinduzi kafungua Diamond na kufungwa na Ally Kiba yeye yupo na Posh Queen 😑
 
Mh I'm big African super star, From mtwara city boy go far.
Pretty morning baby see them cars, Na hazina pakukaa and I got this far.
And I was born Leader, Yaani kifupi nazijua shida.
Kusimangwa kutukanwa kwangu kawaida naona barida. This,
Yes they call me boss, Kama hautaki sikuforce
I love the way You love me, Coz a my big fan of meee.
Mh nisamehe kama nakukera, Ila kitaa ndo kimenipa bendera
Narusha masela mpaka walo jela
Of course of course of course...
 
"...MWEZI WA 9 MWAKA HUU USISAFIRI....."
YAANZAGA HIVIHIVI BAADAE WATU WANAKUJA KUFUKUA MAKABURI
mwezi wa 9 usisafiri imekaa kishirikina sana.... wanaona mpaka fyucha hawa viumbe
 
Kwenye bangi hapana mkuu, inabidi aongeze....kina Bob Marley walitoa vitu hatari kadri walivyozidi kupuliza mjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…