majata
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 431
- 180
Naomba ni mshauri Tunda Aongeze bidii kwenye utunzi wa nyimbo za kuhuzunisha sana aachane kabisa na nyimbo za mapenzi kama ilivyokawaida ya bongo fleva,sauti yake inafaa sana akaimba nyimbo hizi zitamfanya afike mbali sana. kama ni msomaji wa jf basi ajaribu kuutumia ushauri huu utamsaidia.