Ushauri kwa Msanii Tunda man.

Ushauri kwa Msanii Tunda man.

majata

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
431
Reaction score
180
Naomba ni mshauri Tunda Aongeze bidii kwenye utunzi wa nyimbo za kuhuzunisha sana aachane kabisa na nyimbo za mapenzi kama ilivyokawaida ya bongo fleva,sauti yake inafaa sana akaimba nyimbo hizi zitamfanya afike mbali sana. kama ni msomaji wa jf basi ajaribu kuutumia ushauri huu utamsaidia.
 
Tunda bhana nyimbo zake huwezi jua kama analalamika au anaimba
 
Akishirikishwaa ndio anapendeza manyimbo ya kulalamika yanatuchoshaa
 
Nyimbo za mapenzi muachie Kiba bwana, ule ni moto mwingine aisee..
Tunda anafaa afanye remix ya nyimbo za Captain John Komba zile za kuomboleza. Atafaa sana kule.

"Nlikuwepo":bolt:
 
watu mna majungu!!!! duh!!!????

Hahahahhah
 
Naikumbuka REPORT! Tena ngoja niisachi kwa pc yangu!
 
Back
Top Bottom