Popote alipo, mpira una umudu uko na physique ya ball na mwili na kasi. Ombea upate kocha aku-train na wewe ujibebe sasa usjibemende. Sema wabongo wengi wanaanzaga kujudge foota ya msee akishasajiliwa yanga ama simba na hawafuatilii players kitambo. Nakujua toka mavumbini GT
Najua kama mchezaji yeyote hapo bongo unatamani day one yes Ulaya mbele huko soka la kulipwa. Mara moja moja cheki bundesliga manake hiyo ndio style ya uchezaji wako yaani bursting player.
Cheki washambuliaji kama Christopher Nkunku wa Leipzig....pace yake nakufananisha nae sema yeye ni clinical finisher wewe bado unababaika babaika kama kina Boko et al mbele ya goal posts.
Tulia jifue you have potential