Ushauri kwa mshambuliaji Kibu Denis

Ushauri kwa mshambuliaji Kibu Denis

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Popote alipo, mpira una umudu uko na physique ya ball na mwili na kasi. Ombea upate kocha aku-train na wewe ujibebe sasa usjibemende. Sema wabongo wengi wanaanzaga kujudge foota ya msee akishasajiliwa yanga ama simba na hawafuatilii players kitambo. Nakujua toka mavumbini GT

Najua kama mchezaji yeyote hapo bongo unatamani day one yes Ulaya mbele huko soka la kulipwa. Mara moja moja cheki bundesliga manake hiyo ndio style ya uchezaji wako yaani bursting player.

Cheki washambuliaji kama Christopher Nkunku wa Leipzig....pace yake nakufananisha nae sema yeye ni clinical finisher wewe bado unababaika babaika kama kina Boko et al mbele ya goal posts.

Tulia jifue you have potential
 
Kibu ana papara sana anakosa utulivu akiwa na mpira.

Anakuzwa sana kupita uwezo wake ila ni mchezaji mzuri anayeweza kukua bado anahitaji mda.
 
Tatizo la washambuliaji wengi wa tz ni
1.kukosa utulivu wakiwa ndani ya eneo la 18.
2. Hawana shabaha ya goli wanapaisha mipira sana.
3. Hawajaribu kupiga mpira nje ya eneo la 18.

Namba mbili ndio tatizo kubwa.
 
Arudishe Uraia wetu tukampe Steven SEY. #MwiliMkubwaAkiliKisoda.
 
Back
Top Bottom