Ushauri kwa mtaalam yeyote wa afya

Ushauri kwa mtaalam yeyote wa afya

mbengenyi

Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
12
Reaction score
3
Kama umetumia dawa haikufanya kazi je kuongeza dose kubwa zaidi ya awali inaweza kusaifia au ndo bacteria ashakuwa totally resistant? na dawa husika
 
Ushaur wa kitaalam
Kama umetumia dawa haikufanya kaz, kuna mambo ya kuyaangalia
1 )inawezekana umetumia dose ndogo(kiasi pamoja na muda)
2)inawezekana dawa ulo2mia is not the right dawa kwa ugonjwa wako
3)na ili kuajua kua bacteria wamekua resistant inabid ufanye kipimo cha culture and sensitivity ili kujua ni aina gan ya mdudu na atarepond kwa dawa gan
4)inawezekana poa kuna dawa zingne unazo2mia ambazo zinaingiliana na dawa hio ilo2mia kias kwamba inashindwa fanya kz
 
Back
Top Bottom