USHAURI KWA MTAJI WA MILIONI MBILI KUFUNGUA BIASHARA YA DUKA LA MAHITAJI YA NYUMBANI.

mkia

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
581
Reaction score
511
Ndugu Habari za wakati huu.
awali yote napenda kuwajulia hali zenu mahali popote mlipo Tanzania na duniani kwa ujumla.
Mara baada ya salamu hii napenda kuwajulisha lengo la uzi huu.
Mimi ni muajiriwa serikalini kama mnavyojua hali ilivyo mishahara imegota no increment no ongezeko. Kama mtumishi mwenye weledi napenda kujiongeza kwa namna nyingine kuongeza kipato changu kwa kufanya biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani n.k. Nimekopa mahala million 2 kwa ajili hiyo.
Hivyo kama mzoefu wewe unayesoma uzi huu naomba ushauri, je pesa hiyo itatosha kwa hili? Je vitu gani vya msingi kuzingatia ili kujikwamua na biashara hii. Nipo Makambako Njombe. Pia kama kuna ushauri mwingine Tafadhali naomba mnishauri nitatokaje?
Asanteni wote na pia nawatikia wakati mwema.
 
Inaweza ikatosha kama utaanza na mahitaji muhimu na yanayotoka dukani haraka kwanza.
Tenga pesa ya kodi ( angalau miezi sita), mzani, meza (simple tu) ya kuwekea mzani, (mahitaji mengine kama shelves za kuwekea bidhaa ndogondogo na mengineyo achana nayo kwanza)
Anza na bidhaa ambazo kila siku lazima zinunuliwe mfano unga,mchele,maharage,sukari,ngano n.k (kila bidhaa ukiwa na angalau 50kg sio mbaya). Faida utakayokua unapata utaongezea kwenye mtaji na duka litaanza kukua na kupanuka, kama umeoa ni vizur ukamuweka wife(kama ni jobless) akawa muuzaji ili ku-save pesa ya kumlipa muuzaji wa kukuuzia duka
 
Zingatia pia location ya biashara , kwa kuwa unaanza nakushauri tafuta sehem ambayo hamna maduka kabisa (hapa utakua umewasogezea huduma wateja hivyo hawatohangaika kwenda mbali kununua bidhaa). Pia jiandae kwa competition huko mbeleni, wabongo wana kawaida ya kucopy na kupaste idea pale wanapoona unanufaika sana
 
Asante kwa ushauri wako ndugu
 
Nashukuru kwa ushauri
 
Jiandae kisaikolojia,

Hii biashara INA tabia flani ya kukopa kopa kwingi.

"Ndugu yangu, wanangu hawajala chochote tokea kumekucha,nikope unga kilo 2 wanangu ntakurejeshea kesho"

Kiuhalisia kama binadamu kujizuia kumkopa kwny mazingira km hayo.

Usishangae watakapokuja wateja 5 mfurulizo kwa gia hiyo hiyo.
 
Hii biashara n nzur ila kukopa ni changamoto sana...yaan unaweza kukuta pesa kama kilo HV iko nje kwa unaowadai na wanalipa polepole....
 
Back
Top Bottom