USHAURI KWA MTAJI WA MILIONI MBILI KUFUNGUA DUKA LA MAHITAJI YA NYUMBANI

mkia

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
581
Reaction score
511
Ndugu Habari za wakati huu.
awali yote napenda kuwajulia hali zenu mahali popote mlipo Tanzania na duniani kwa ujumla.
Mara baada ya salamu hii napenda kuwajulisha lengo la uzi huu.
Mimi ni muajiriwa serikalini kama mnavyojua hali ilivyo mishahara imegota no increment no ongezeko. Kama mtumishi mwenye weledi napenda kujiongeza kwa namna nyingine kuongeza kipato changu kwa kufanya biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani n.k. Nimekopa mahala million 2 kwa ajili hiyo.
Hivyo kama mzoefu wewe unayesoma uzi huu naomba ushauri, je pesa hiyo itatosha kwa hili? Je vitu gani vya msingi kuzingatia ili kujikwamua na biashara hii. Nipo Makambako Njombe. Pia kama kuna ushauri mwingine Tafadhali naomba mnishauri nitatokaje?
Asanteni wote na pia nawatikia wakati mwema.
 
Modes nawaomba uzi huu mnisaidie kupeleka kunako husika
Nimeteleza kidole
 
Naomba tuwasiliane ndg yng 0719142151
 
Back
Top Bottom